RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

News

TANGAZO KWA WALIOMALIZA MWAKA 2015/2016

KUCHUKUA VYETI KUANZIA TAREHE 06 MARCH, 2017 KWA WANAFUNZI WALIOKUWA WAKIDHAMINIWA NA BODI

Kwa wanafunzi waliomaliza masomo yao mwaka wa masomo 2015/2016 waliokuwa wakidhaminiwa na Bodi ya Mikopo nchini (HESLB), mnataarifiwa kufika chuoni RUCU ili kuweza kusaini ada ya masomo ya semester ya pili (2015/2016) na kuchukua vyeti vyenu.

MUHIMU: Ni lazima kwanza, kusaini malipo ya ada ya mhula wa pili 2015/2016 na kujaza clearance form kabla ya kupatiwa cheti chako. Mwanafunzi ambae hatafuata utaratibu huu hataruhusiwa kuchukua cheti chake.

Imetolewa na Utawala

 

ANNOUNCEMENT FOR 2015/2016 GRADUATES WHO WERE SPONSORED HESLB

 For students who were sponsored by Higher Education Students’ Loan Board (HESLB) and completed their studies in the academic year 2015/2016 are informed to come at RUCU starting from March 06, 2017 to take your certificates.

IMPORTANT: You must first sign your name in the HESLB sheet, and fill clearance form before getting your certificate. Student who does not follow this order will not take his certificate.

Management