RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

News

 • PUBLIC LECTURE ON SEVENTY YEARS OF STRUGGLES FOR DEMOCRACY IN THE GREAT LAKES REGION

  Read more...  
 • List of Graduands 2016/2017

   

  Read more...  
 • 10th Convocation Day and Graduation Ceremony: Information to Graduands

  Read more...  
 • List of Applicants Selected by RUCU and other Universities Round 3

  Read more...  
 • SELECTED BY RUCU ROUND 3 AND OTHER UNIVERSITIES IN THE PREVIOUS ROUNDS.

  Read more...  
 • List of Applicants Selected in Third Round

  Read more...  
 • Fee Structure 2017/18

  Read more...  
 • HESLB Allocations for RUCU Freshers

  Read more...  

MAELEKEZO KWA WANAFUNZI WAPYA

Wanafunzi wote mnatakiwa kuwa mmemaliza kulipa Ada na kufanya usajili ndani ya wiki mbili baada ya tarehe ya kuripoti (25.09.2017) ambayo ni tarehe 09 Oct 2017.

Mbali na malipo ya Ada, Unatakiwa kulipia kiasi cha shilingi Elfu tano (5,000) kwaajili ya Ada ya utengenezaji wa vitambulisho na Shilingi Elfu kumi (10,000) ambayo ni gharama ya kufungulia Akaunti katika Benki ya TPB.

Ilikuweza kufanikisha kufungua Akaunti unalazimika kukamilisha viambatanisho vyote vinavyohitajika katika kukamilisha taratibu za ufunguaji wa Akaunti.

Utawala - RUCU