About The Event

Tunakufikia Mkoani kwako.

Event Details

Tuambie Upo Mkoa Gani?

Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) kinakuja mkoani kwako kuanzia tarehe 16 – 30/03/2026 kukusikiliza na kukupatia huduma moja kwa moja katika mkoa wako kwa kipindi cha wiki mbili.

Hii ni fursa ya kipekee kwa wanafunzi, wazazi na wadau wa elimu kufika, kuuliza maswali, kupata ushauri wa masomo na kujifunza zaidi kuhusu programu na fursa zinazopatikana RUCU.

📌 Jiandae na maswali yako ili kukijua zaidi Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU).

Karibu tukutane mkoani kwako!

Where The Event?

Venue: TANZANIA

Event Information

Event Date

2026-03-16 - 2076-03-16

Status

PAST

Location

TANZANIA

Category

Academic

Contact


0716183765

Downloads & Link

  • Event Document:

    No document uploaded


  • Online Link:

    Join / Visit Online Link

  • Advertisement